Saturday, August 31, 2013

"MIRATHI YA KAKA" INAKUJA KUKONGA NYOYO!

Mpenzi msomaji usikubali kupitwa hata kidogo uhondo uliomo kwenye hadithi ya "Mirathi ya Kaka" kwani inasisimua, inaburudisha, inafundisha na inaelimisha. Kamwe hii si ya kukosa.

"MIRATHI YA KAKA" SEHEMU YA KWANZA HIYOOOO

Wapenzi wasomaji wa blog hii, ile hadithi baabu kubwa kesho kutwa inaanza kuruka hewani hivyo kaa tayari kuifuatilia mwanzo mwisho.

Friday, August 30, 2013

Hadithi ya "MIRATHI YA KAKA" itaanza kuwa hewani jumatatu.

Hadithi tamu na ya kusisimua itakayoenda kwa jina la "MIRATHI YA KAKA" itaanza kuruka hewani rasmi siku ya Jumatatu 3-9-2013. Kaa mkao wa kula maana hadihi hii si ya kukosa.

Thursday, August 29, 2013

Simulizi za Kusisimua: JIANDAE KUBURUDIKA NA SIMULIZI YA "MIRATHI YA KAKA...

Simulizi za Kusisimua: JIANDAE KUBURUDIKA NA SIMULIZI YA "MIRATHI YA KAKA...: Wapenzi wasomaji wa blog hii, kwanza nawaombeni samahani sana kwa kuikatisha hadithi iliyokuwa ikienda hewani kwenye blog hii kwani kuna mtu...

JIANDAE KUBURUDIKA NA SIMULIZI YA "MIRATHI YA KAKA"

Wapenzi wasomaji wa blog hii, kwanza nawaombeni samahani sana kwa kuikatisha hadithi iliyokuwa ikienda hewani kwenye blog hii kwani kuna mtu kafika bei. Hata hivyo ninawaletea kitu kingine tena matata ambacho kitaenda kwa jina la "MIRATHI YA KAKA"
Ukitaka kujua imefanya nini mirathi ya kaka ungana nami kuifuatilia hadithi hiyo itakayoanza siku si nyingi katika blog hii.

Tuesday, August 27, 2013

WAPENZI WASOMAJI WA SIMULIZI ZA KUSISIMUA NIMERUDI TENA.

habari wapenzi wasomaji wa blog hii, kwanza samahani kabisa kwa kuwakatisha uhondo uliokuwepo kwenye hadithi ya "Mlangoni Mwa Sabina, hii ilitokana na matatizo ya kiufundi. sasa nimerudi tena na vitu adimu kabisa kwa ajiri ya kuiboresha blog hii. msikose!