Friday, September 13, 2013

HEBU BOFYA HAPA KISHA U-COMMENT KULAANI KITENDO CHA PADRI KUMWAGIWA TINDIKALI VISIWANI ZANZIBAR!

Sasa imekuwa ni "too much" na inakera kwa matukio ya watu kumwagiwa tindikali huko Zanzibar. Kawakosea nini mtu huyu mpaka wakammwagia tindikali???

No comments:

Post a Comment