Mpenzi msomaji, kama umefuatilia hadithi ya "Mirathi ya Kaka" msimuliaji wa hadithi hiyo ambaye ni Brighton amekuwa akisimulia mambo ya kutisha na kuogofya ikiwemo kuiona mizimu ya watu waliokufa kitambo. Kumbe hayo yote yalikuwa ni ndoto tu, na sasa ndoto imeisha.
Je, ataendelea kuviona vimbwanga au itakuwaje? Usiache kufuatilia mwendelezo wa simulizi hii tamu na yenye kusisimua. Kama ulikuwa bado hujaanza kuifuatilia basi anza sasa!
No comments:
Post a Comment