HEBU NIAMBIE NANI KAMWEZA MWENZAKE KATI YA HUYU MTOTO NA MZAZI WAKE!
Wazazi wamewafuata watoto wao siku ya kufunga shule,
mzazi kwa hasira anamuuliza mwanae "umewaona watoto wenye akili wakipokea zawad zao"?
Mtoto akamjibu
"na wewe umewaona wazazi wenye akili wamepaki magari yao sisi tunapanda daladala......"
Mzazi kimya!
No comments:
Post a Comment