Tuesday, September 3, 2013

"MIRATHI YA KAKA" YAZIDI KUWA GUMZO.

Tangu ianze kuruka hewani hadithi ya "Mirathi ya Kaka" ni siku mbili zimepita. Wadau wanazidi kuifuatilia na kuitabiria kuja kuwa bonge la stori. Kama bado hujasoma toleo la kwanza na la pili fujachelewa, post zote hazijaondolewa hivyo kazi kwako!

No comments:

Post a Comment