Thursday, September 12, 2013

MIRATHI YA KAKA YAZIDI KUKIMBIZA.

Kutoka kwenye ndoto ya kutisha, Brighton anaamua kwenda ufukweni kutuliza akili. Huko anaenda kukutana na mwanadada ambaye anazidi kumchanganya, mauzauza si mauzauza, yaani taflani tupu. hebu fuatilia toleo la leo (sehemu ya 12) uone mambo yalivyonoga. Yaani ni raha tupu mwenzangu!

No comments:

Post a Comment