Mama mmoja alikuwa anachuma mboga huku ntoto wake wa kike alikuwa kakaa chini ya mti akicheza. Mara mtoto huyo alipanda juu ya mti na kuweka pozi huko.
Wakati yupo juu ya mti baniani mmoja (mhindi) alipita kwenye mti huo na kukaa pale chini kujipumzisha. Mara aliangalia juu ya mti huo na kumuona mtoto huyo kapiga pozi. Mtoto huyo alikuwa hajavaa nguo ya ndani (chupi).
Mara baniani akasema,
"Wewe mtoto, shuka haraka huko!"
Naye mtoto akaanza kushuka. Alipofika chini baniani akatoa sh.500 na kumpa huyo mtoto huku akimwambia,
"Chukua hii pesa ukanunue chupi!"
Baada ya hapo baniani akaondoka.
Mtoto alienda mpaka kwa mama yake akamweleza yote, wakaendelea kuchuma mboga.
Baada ya muda mama huyo akamuona baniani anarudi, alikimbia harakaharaka na kwenda kupanda juu ya mti huku akijiambia kwamba kama mtoto kapewa sh.500, yeye atapewa hata sh.5000.
Wakati yupo juu ya mti baniani alienda kukaa chini kama kawaida yake, alipoangalia juu akamuona yule mama, naye hakuwa amevaa chupi.
Baniani akamuita,
"Wewe mama, shuka huko juu."
Mama akaanza kushuka huku akiwa na matumaini kuwa atapewa pesa nyingi zaidi ya yule mwanae.
Alipofika chini baniani alitoa sh.50 akampa mama huyo huku akimwambia.
"Chukua hii pesa ukanunue wembe unyoe hizo nywele za chini!"
HAHAAAAAAAAAAAAAAAA! BAHATI YA MWENZIO USILALIE MLANGO WAZI!
No comments:
Post a Comment